Home Entertainment DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

DIAMOND ANYAKUA TUZO NYINGINE NCHINI NIGERIA

976
0
SHARE

tuzo

­­­STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo ameshinda tuzo nyingine huko Lagos nchini Nigeria kutoka The Future Awards Africa Prize in Entertainment 2014.
Tuzo hiyo ya Diamond ilipokelewa na Meneja wake Salaam na kwenye kipengele cha tuzo hiyo kulikuwa na wakali wengine wakiwemo Panshack au Ice Prince wa Nigeria na Michael Kwesi kutoka nchini Ghana.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond aliandika ujumbe huu: “Thanks God, we have cheated another one on the future Awards Africa in Lagos Nigeria…#Samenight Thank You Allah”

diam

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here