Home Dauda TV SHAFFIH DAUDA NA UTABIRI WA GAME ZA EPL WEEKEND HII

SHAFFIH DAUDA NA UTABIRI WA GAME ZA EPL WEEKEND HII

3404
0
SHARE

LIGI kuu nchini England inaendelea leo jumamosi, huku mechi ilivovuta macho na masikio ya mashabiki wengi wa soka duniani kote ni baina ya Arsenal na Manchester City. Mechi hii inaanza kupiga dakika chache zijazo katika dimba la Emirates jijini London.

Huu hapa ni utabiri wangu wa matokeo baada ya dakika 90 kumalizika:

Arsenal 2 v 2 Manchester

City Manchester Unite 3 v 0 QPR

Liverpool 3 v 1 Aston 1Villa

Chelsea 3 vs 1 Swansea

Crystal Palace 1 v 1 Burnley

Southampton 2 v 2 Newcastle

Stoke 2 v 0 Leicester

Sunderland 1 v 2 Tottenham

West Brom 0 v 2 Everton

Hull City 1 v 1 West Ham

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here