Home Kitaifa OMOG KUONGEZA MORALI YA WACHEZAJI KWA KUIFUNGA YANGA SC

OMOG KUONGEZA MORALI YA WACHEZAJI KWA KUIFUNGA YANGA SC

826
0
SHARE

Kocha mkuu wa Azam fc, Joseph Omog (kulia)

NI MECHI MUHIMU! Kocha mkuu wa klabu ya Azam Joseph Marius Omog ameutaja mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kuwa ni mchezo muhimu.

 Omog amesema ni muhimu kwa timu yake kushinda mchezo wa kesho ili kuimarisha Morali ya timu kabla ya kuanza kwa ligi.

 Azam inacheza mchezo huu kwa mwaka wa tatu mtawalia ambapo miaka miwili ya nyuma ilikua inacheza kama makamu bingwa na mara zote ilipoteza dhidi ya mabingwa Simba na Yanga, kesho inacheza kama bingwa kwahiyo Azam ina nafasi kubwa kushinda kama historia itatenda haki lakini pia kutokana na maandalizi na usajili uliofanyika.

 Raia huyo wa Cameroun alisema amewapa wachezaji wake kilakitu kitakachowawezesha kushinda mchezo huo, Kwahyo kazi imebaki kwao kushinda na kuleta furaha klabuni.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here