Home Kitaifa KIKOSI CHA AZAM FC KINACHOANZA LEO DHIDI YA ADDAMA CITY YA ETHIOPIA

KIKOSI CHA AZAM FC KINACHOANZA LEO DHIDI YA ADDAMA CITY YA ETHIOPIA

833
0
SHARE

Azam FC leo kwa mara nyingine itashuka katika kiwanja cha Nyamirambo hapa Kigali Rwanda kucheza mchezo wa mwisho katika kundi dhidi ya Addama City ya Ethiopia. Mechi itaanza majira ya saa 9 Alasiri hapa Kigali ambayo ni saa 10 Alasiri Dar es Salaam.
Kikosi cha Leo tar 16.08.2014
1. MWADINI ALI
2. ERASTO NYONI
3. GADIEL MICHAEL
4. DAVID MWANTIKA
5. AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. KHAMIS MCHA
8. JOHN BOCCO (C)
10. DIDIER KAVUMBAGU
11. KIPRE TCHETCHE
AKIBA
AISHI MANULA
SAID MORADI
MUDATHIR YAHYA
FARIDI MUSSA
ABDALLAH KHEIR
GAUDENCE MWAIKIMBA

Mungu Ibariki Azam FC, Mungu ibariki Tanzania!

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here