Home Maajabu ya Brazuka Eliaquim Mangala ajiunga rasmi na Man City kutoka Porto.

Eliaquim Mangala ajiunga rasmi na Man City kutoka Porto.

1330
0
SHARE

Manchester City imefanikiwa kumsajili beki raia wa Ufaransa Eliaquim Mangala kutoka klabu ya FC Portokwa ada ya paundi milioni 32..
Beki huyo mwenye umri wa miaka 23 mesaini mkataba wa miaka 5 kuichezea klabu hiyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here