Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa SUNDERLAND YAKARIBIA KUMSAJILI RODWELL WA MAN CITY

SUNDERLAND YAKARIBIA KUMSAJILI RODWELL WA MAN CITY

670
0
SHARE

SUNDERLAND imekaribia kukamilisha uhamisho wa kiungo wa Manchester City Jack Rodwell.

Paka hao weusi wanakaribia kumnasa beki huyo wa zamani wa Everton, licha ya kuzivutia nusu ya klabu 20 zinazoshiriki ligi kuu soka nchini England.

Nyota huyo mwenye miaka 23 amekuwa akisumbuliwa na majeruhi tangu ajiunge na Man City mwaka 2012 na ameanza katika mezi 7 tu za ligi kuu katika misimu miwili.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here