Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa TETESI: KHAMIS KIIZA KUFUNGASHIWA VIRAGO YANGA SC

TETESI: KHAMIS KIIZA KUFUNGASHIWA VIRAGO YANGA SC

976
0
SHARE

KUFUATIA kusajiliwa kwa mshambiliaji wa Kibrazil, Gleison Santos Santana ‘Jaja`, Mganda Khamis Kiiza anaachwa na klabu ya Yanga majira haya ya kiangazi.

Kati ya Emmanuel Okwi na Khamis Kiiza, mmojawapo anatakiwa kutolewa, lakini taarifa za ndani zinaeleza kuwa Kiiza anaangukiwa na nyumba.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here