Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa RASMI: YANGA YAMPA MKATABA WA MIAKA MIWILI JAJA

RASMI: YANGA YAMPA MKATABA WA MIAKA MIWILI JAJA

852
0
SHARE

Yametimia klabu ya soka ya Yanga imempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji raia wa Brazili Geilson Santana Santos ‘Jaja’ 

Jaja alizaliwa Septemba 21 mwaka 1985 huko Brazili na kabla ya kujiunga na Yanga alikuwa mfungaji bora katika timu aliyokuwa akiichezea ya Itabaina FC iliyopo Kitongoji cha Sergipe nchini Brazili.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here