Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa RASMI: RUHENDE AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR

RASMI: RUHENDE AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR

725
0
SHARE

BEKI wa zamani wa Yanga David Luhende amejiunga na Klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Awali beki huyo alisaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa hao wa zamani ambao umemalizika mwishoni mwa msimu uliopita na Yanga iligoma kumuongezea mkataba mpya

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here