Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa RASMI: LUCAS PIAZON AJIUNGA NA EINTRACHT FRANKFURT KWA MKOPO

RASMI: LUCAS PIAZON AJIUNGA NA EINTRACHT FRANKFURT KWA MKOPO

645
0
SHARE

MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Lucas Piazon amejiunga na  Eintracht Frankfurt kwa mkopo wa muda mrefu.

Mbrazil huyo alijiunga Stamford Bridge kutokea Sao Paulo mwaka 2008 , lakini ameshindwa kung`ara na alicheza mechi tatu tu katika msimu wake wa kwanza.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here