Home Tetesi za Usajili Usajili Kitaifa RASMI: ANDREY COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC

RASMI: ANDREY COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC

735
0
SHARE

Kiungo mshamabuliaji Andrey Marcel Ferreira Coutinho raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miwili kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Mpaka anajiunga na klabu ya Young Africans Andrey Coutinho alikuwa akichezea timu ya Castanhal EC iliyopo kwenye Ligi Daraja la pili ambao aliweza kuichezea kwa michezo yote  ya mzunguko wa pili mwaka 2014.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here