Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa DILI LIMEKAMILIKA: DAVIS OSPINA AKUBALI MKATABA WA MIAKA MINNE ASERNAL

DILI LIMEKAMILIKA: DAVIS OSPINA AKUBALI MKATABA WA MIAKA MINNE ASERNAL

647
0
SHARE

MLINDA mlango wa timu ya Taifa ya Colombia, David Ospina amekubali kusaini mkataba wa miaka minne kujiunga na Asernal.

Uhamisho huo umekamilika kwa dau la paundi milioni 3.5 na atapima afya mwishoni mwa wiki hii baada ya kutoka mapumzikoni.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here