Home Tetesi za Usajili Usajili Kimataifa BEN DAVIES NA MICHEL VORM WAJIUNGA NA SPURS KUTOKEA SWANSEA, GYLFI SIGURDSSON...

BEN DAVIES NA MICHEL VORM WAJIUNGA NA SPURS KUTOKEA SWANSEA, GYLFI SIGURDSSON AKIWA SEHEMU YA DILI

614
0
SHARE

Ametangazwa: Spurs amemsajili Ben Davies (pichani juu)  kutokea klabu ya  Swansea pamoja na kipa Michel Vorm

KLABU ya Swansea imethibitisha kumsajili Gylfi Sigurdsson kutoka klabu ya Tottenham na kumuuza  Ben Davies na Michel Vorm kwenda klabu ya Tottenham.

Sigurdsson amerudi  Swansea  ambapo alifurahia msimu mzuri mwaka 2012 alipokuwa anacheza kwa mkopo akifunga magoli 7 katika mechi 18 alizocheza.

Davies, mwenye miaka 21, amesaini mkataba wa miaka mitano White Haart Lane, wakati Vorm mwenye miaka 30 amesaini mkataba wa miaka minne.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here