Home Kimataifa HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI MOJA...

HUYU NDIYE MCHEZAJI MWENYE REKODI YA KUFUNGA MAGOLI MENGI KWENYE MECHI MOJA YA KOMBE LA DUNIA

9152
0
SHARE

Jina lake ni Oleg Salenko raia wa Russia ambaye hadi leo bado rekodi yake haijavunjwa na chezaji yoyote kwenye michuano ya kombe la dunia. Huyu jamaa ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi kwenye mechi moja ambayo yalikuwa ni magoli matano kwenye mechi moja.

Ilikuwa ni mwaka 1994 kwenye mechi na Cameroon Oleg Salenko alitupia magoli matano na baada ya miaka yote hiyo rekodi yake haijavunjwa hadi leo. Tusubili kuona kama Brazuca itaisha vipi kama rekodi hii itavunjwa au la.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here