Home Kimataifa HII NI REKODI YA KOCHA WA YANGA KWENYE KOMBE LA DUNIA

HII NI REKODI YA KOCHA WA YANGA KWENYE KOMBE LA DUNIA

2025
0
SHARE

Mchezaji wa zamani Ernie Brandts aliyewahi kuwa kocha wa Yanga anashikilia rekodi ya tofauti sana kwenye mechi za kombe la dunia. Huyu jamaa ni mchezaji wa  Netherlands na kwenye kombe la mwaka 1978 mechi yao na Italy. Ernie Brandts alishinda magoli mawili moja kwa kila timu. Dakika ya 18 alijifunga na baadae dakika ya 50 alifunga goli la kusawazisha.

Ikafika dakika nyingine baadae mwenzake Arie Haan alifunga goli la pili na wakashinda 2 – 1. Hadi leo haijawahi kutokea hali kama hiyo kwenye mechi za kombe la dunia. Huyu jamaa sasa hivi ni kocha wa timu ya FC Dordrecht.

Tuendelee kucheki Brazuka kama rekodi hii itafikiwa au kuvunjwa.

ed2

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here