Home Kimataifa JOSE MOURINHO AIBUKA NA KUMKANDIA PEPE, ASEMA KWANZA SIO MRENO

JOSE MOURINHO AIBUKA NA KUMKANDIA PEPE, ASEMA KWANZA SIO MRENO

950
0
SHARE
That bodes well: Jose Mourinho couldn't help but be impressed with what he saw from England

Ouch! Pepe leaned into Muller after the pair had begun a spat with Portugal already two goals down

 Pepe alimpiga kichwa Muller wakati Ureno wakiwa nyuma kwa mabao 2-0.
BEKI wa kati , Pepe, aliingia katika malumbano makali na mshambuliaji wa Ujerumani, Thomas Muller na kuambulia kadi nyekundu Ureno ikipoteza mchezo wa kwanza kombe la dunia kwa kipigo cha mabao 4-0.
Baada ya tukio hilo, Jose Mourinho amechukizwa na kitendo cha pepe na kumlaumu kuwa yeye ndiye chanzo cha matokeo mabaya kwa Ureno. 

Tayari Ureno walikuwa nyuma kwa mabao 2-0 wakati beki huyo akioneshwa kadi nyekundu,  hata hivyo Mourinho amesema `Pepe kwanza sio Mreno`, kwahiyo lazima awe na adabu na hakupaswa kumpiga kichwa Muller baada ya kumchezea vibaya katika mchezo wa jana jumatatu.

Mourinho amesema hata kama kadi nyekundu ilikuwa kali kwao, Pepe alizaliwa Brazil, hivyo aliheshimu taifa lake la kuazima.
“Nadhani bao la pili ni kosa lake”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here