Home Kimataifa HUYU NDIYE MCHEZAJI ALIYECHEZA KOMBE LA DUNIA AKIWA NA MIAKA 17

HUYU NDIYE MCHEZAJI ALIYECHEZA KOMBE LA DUNIA AKIWA NA MIAKA 17

1690
0
SHARE

 

Mchezaji Norman Whiteside ndiye anayeshikilia rekodi ya kucheza kombe la dunia akiwa na umri mdogo kuliko wachezaji wote. Hadi leo rekodi hiyo haijavunjwa na mchezaji yoyote. Norman Whiteside alikuwa ni mchezaji Northen Ireland na alicheza kombe la dunia la mwaka 1982 akiwa na umri wa miaka 17 na siku 41.

Norman Whiteside kwenye club aliwahi kuichezea Manchester United.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here