Home Kimataifa ROGER MILLA MCHEZAJI ALIYEFUNGA GOLI KWENYE KOMBE LA DUNIA AKIWA NA UMRI...

ROGER MILLA MCHEZAJI ALIYEFUNGA GOLI KWENYE KOMBE LA DUNIA AKIWA NA UMRI MKUBWA ZAIDI

1233
0
SHARE

Leo hii mnamwita Samuel Etoo kikongwe? Hamjawai kusikia kuhusu Roger Milla. Huyu jamaa ni kikogwe ambaye ameweka historia kwenye kombe la dunia hadi leo bado haijavunjwa.

Kama ulikuwa hujui ni kwamba Roger Milla ni mchezaji ambaye alifunga goli akiwa na umri mkubwa kabisa akiwa kwenye kombe la dunia la mwaka 1994.

Milla alifunga goli akiwa na miaka 42 dhidi ya Russia akiwa na Cameroon na kuweka rekodi hiyo ambayo hadi leo bado haijavunjwa. Vipi kikongwe Etoo atatupia kwenye mashindano haya.

 

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here