Home Kimataifa UHOLANZI WACHAFUA HALI YA HEWA BRAZIL, WAICHABANGA HISPANIA `MKONO KWA MOJA`…ROBBEN, VAN...

UHOLANZI WACHAFUA HALI YA HEWA BRAZIL, WAICHABANGA HISPANIA `MKONO KWA MOJA`…ROBBEN, VAN PERSIE MOTO MKALI!

1094
0
SHARE
Heading into the net: Robin van Persie hurls himself through the air to score a superb equaliser
Ndosi hiyo!: Robin van Persie akifunga goli kwa kupiga kichwa matata na kuisawazishia Uholanzi.
Calamitous error: Van Persie robs Iker Casillas to poke home Holland's fourth goal

 Kosa kubwa la mlinda mlango: Van Persie akimpoka Iker Casillas mpira na kufunga bao la nne.
Can't believe it: Casillas looks downcast as the Holland players celebrate Van Persie's goal
Haamini: Casillas akitafakari baada ya kufungisha bao la nne, huku wachezaji wa Uholanzi wakishingilia bao hilo la  Van Persie
Vikosi na viwango vya wachezaji katika mchezo wa leo kwa mujibu wa Joe Callaghan ambaye yupo mjini Sao Paulo. Alama zilizotumika ni 10.

Kikosi cha Hispania: Casillas 5, Azpilicueta 6.5, Sergio Ramos 5.5, Pique 5.5, Jordi Alba 7, Alonso 7.5 (Pedro 63), Xavi 7, Busquets 6, Silva 7.5, Diego Costa 7 (Torres 62), Iniesta 7.
Wachezaji wa Akiba: De Gea, Albiol, Javi Martinez, Juanfran, Villa, Fabregas, Mata, Koke, Cazorla, Reina.

Kikosi cha Uholanzi: Cillessen 7, Janmaat 6, Vlaar 7.5, De Vrij 7, Martins Indi 6.5, Blind 7, de Guzman 6, Sneijder 6, De Jong 6.5, Van Persie 8, Robben 8.

Wachezaji wa akiba: Vorm, Verhaegh, Veltman, Kongolo, Kuyt, Clasie, Lens, Fer, Huntelaar, Wijnaldum, Depay, Krul.

Mwamuzi: Nicola Rizzoli (Italia)
Mchezaji bora wa mechi: Robin van Persie na Arjen Robben

Mabao yote ya Uholanzi yalikuwa ya ajabu. Yote yalitengenezwa  kwa pasi murua kutoka wingi ya kushoto kutokea kwa Daley Blind na pasi zilimaliziwa kwa ufundi tofauti na wachezaji  Robin van Persie na Arjen Robben.

 
Magoli manne yalitokana na makosa ya mlinda mlango Iker Casillas. Kuelekea mechi ijayo itakayochezwa wiki ijayo ambayo Hispania wanahitaji ushindi- kuna hoja kuwa kipa wa Manchester United, David de Gea anaweza kumbadili mlinda mlango huyo mkubwa wa Hispania.
Bunch of fives: Robben (left) slams home Holland's fifth goal in their stunning victory
Bao la tano: Robben (kushoto) akiifungia Uholanzi bao la tano.
Stefan de Vrij (left) bundles the ball in at the back post for Holland's third goal

 Stefan de Vrij (kushoto) akiifungia Uholanzi bao la tatu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here