Home Dauda TV EPISODE 4 YA DAUDA TV : MASHABIKI WA BRAZIL WAMNYANYUA JUU SHAFFIH...

EPISODE 4 YA DAUDA TV : MASHABIKI WA BRAZIL WAMNYANYUA JUU SHAFFIH DAUDA WAKISHANGILIA USHINDI

821
0
SHARE

 

Soka ni kitu kikubwa sana kwenye jamii ya watu wa Brazil hata kama wakiwa na matatizo ya kisiasa basi soka linaweza kutumia kuwaunganisha. Baada ya ushindi dhidi ya Croatia shangwe zilitawala kila sehemu hadi kufikia kumbeba juu Shaffih Dauda wakishangilia ushindi.

Angalia kilichojiri kwenye hii video.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here