Home Kitaifa WASHINDI WA DROO YA KILA WIKI YA CASTLE LAGER WAKABIDHIWA ZAWADI

WASHINDI WA DROO YA KILA WIKI YA CASTLE LAGER WAKABIDHIWA ZAWADI

758
0
SHARE

 

Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Wilaya ya Temeke, Edson Nasuwa (kulia) akimkabidhi  fedha taslimu shilingi 100,000/= Michael Mbuya (kushoto), mkazi wa  Tabata Segerea, Dar es salaam akiwa ni mmoja wa washindi sita wa droo za kila wiki za bia hiyo ambapo droo kubwa itachezeshwa mwezi Agosti na washindi wake watapata fursa ya kutembelea uwanja wa Camp Nou unaomilikiwa na timu ya FC Barcelona ya Hispania. (Picha:  Executive Solutions) 2Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Fimbo Butallah (kulia) akimkabidhi  fedha taslimu shilingi 100,000/= Samwel Kingu, mkazi wa Dar es salaam akiwa ni mmoja wa washindi sita wa droo za kila wiki za bia hiyo ambapo droo kubwa itachezeshwa mwezi Agosti na washindi wake watapata fursa ya kutembelea uwanja wa Camp Nou unaomilikiwa na timu ya FC Barcelona ya Hispania. (Picha: Executive Solutions) 3Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo (kushoto), na Meneja  Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Fimbo Butallah (wa pili kulia) pamoja na Mwakilishi wa Mauzo wa TBL Wilaya ya Temeke, Edson Nasuwa wakimkabidhi Kombe kapteni wa timu ya Pire FC,  Mahamudu Hamadi baada ya kuibuka washindi katika fainali za Castle Lager Perfect Six kanda ya Temeke zilizofanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe Dar es Salaam ambapo timu hiyo itawakilisha kanda hiyo kwenye fainali za taifa kuwania safari ya kwenda Hispania kutembelea uwanja wa Camp Nou na kushuhudia michezo ya klabu ya Barcelona. (Picha: Executive Solutions).

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here