Home Maajabu ya Brazuka HII NDIYO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA ILIYOSHUHUDIA MAGOLI MENGI ZAIDI HADI...

HII NDIYO FAINALI YA KOMBE LA DUNIA ILIYOSHUHUDIA MAGOLI MENGI ZAIDI HADI LEO

2003
0
SHARE

g
Hivi unajua kama fainali ya kombe la dunia la mwaka 1958 ndiyo ilishudiwa kufungwa magoli mengi zaidi hadi leo. Kwenye mechi hiyo ya fainali ambapo walikutana Brazil na Sweden kwenye uwanja wa Rasunda Stadium, Solna watazamaji walishudia jumla ya magoli 7 kwenyemechi moja.

Brazil walitupia wavuni magoli matano na Sweden walitupia magoli 2.Pele alitupia mawili,Vava alitupia mawili na Zagallo akamalizia moja. Upande wa Sweden Simonsson na Liedholm walifunga hayo mawili. Vipi mwaka huu itakuaje????..Brazukaaaaa!!!!

Cheki video ya magoli yenyewe.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here