Home Dauda TV BBALL KITAA KUANZA WIKIENDI

BBALL KITAA KUANZA WIKIENDI

685
0
SHARE

Msimu mpya wa mashindano ya mpira wa kikapu yajulikanayo kama BBALL KITAA unatarajia kuanza May 25 mwaka huu.

Mratibu wa mashindano hayo yatakayofanyika katika Viwanja vya Gymkhana Jijini Dar es Salaam RUBEN NDEGE, ametoa wito kwa Mikoa mingine kuhakikisha inacheza mchezo huo ili uweze kuenea nchini kote.

Uwanja wa Gymkhana umeanza kufanyiwa matengenezo kwa ajili ya mashindano hayo yatakayoshirikisha timu kutoka Jiji la Dar es Salaam pekee.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here