Home Dauda TV CASTLE LAGER PERFECT 6 YATARAJI KUANZA RASMI.

CASTLE LAGER PERFECT 6 YATARAJI KUANZA RASMI.

681
0
SHARE

Mashindano ya mpira wa miguu ya Castle Lager Perfect 6 yanatarajiwa kuanza rasmi katika ngazi ya Mikoa wikiendi hii katika Mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro.

 

Meneja wa Bia ya Castle Lager Kabula Nshimo amesema mashindano hayo yana lengo ya kupata timu itakayokwenda nchini Hispania kuangalia mechi za timu ya Barcelona.

Jijini Dar es Salaam mashindano hayo yatafanyika katika Uwanja wa Mwembeyanga wilayani Temeke, Garden wilayani Kinondoni na Rova Ashanti Ilala, huku Morogoro yakifanyika katika Uwanja wa Fire.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here