Home Tetesi za Usajili MEXICO YATAJA WACHEZAJI 23 KOMBE LA DUNIA, CHICHARITO, DOS SANTOS NDANI

MEXICO YATAJA WACHEZAJI 23 KOMBE LA DUNIA, CHICHARITO, DOS SANTOS NDANI

1199
0
SHARE

401765_heroaKOCHA wa timu ya taifa ya Mexico, Miguel Herrera amemjumuisha mshambuliaji wa Manchester United, Javier Hernandez `Chicharito` na Giovan dos Santos wa Villarreal katika kikosi chake cha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil.
Kikosi kizima cha Mexico hiki hapa:

Walinda mlango: Jesus Corona (Cruz Azul), Guillermo Ochoa (Ajaccio), Alfredo Talavera (Toluca)

Walinzi: Paul Aguilar, Miguel Layun (both America), Diego Reyes (Porto), Rafael Marquez (Club Leon), Francisco Rodriguez (America), Hector Moreno (Espanyol), Carlos Salcido (Tigres), Andres Guardado (Bayer Leverkusen)

Viungo: Juan Carlos Medina (America), Jose Juan Vazquez (Leon), Isaac Brizuela (Toluca), Luis Montes, Carlos Pena (both Club Leon), Marco Fabian (Cruz Azul, on loan from Guadalajara), Hector Herrera (Porto)

Washambuliaji: Raul Jimenez, Alan Pulido, Javier Hernandez (Manchester United), Giovani dos Santos (Villarreal), Oribe Peralta (Santos Laguna)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here