Habari Mpya

Abdi Banda Mwamba wa Chuma usiotingishwa na kutu

:: đź“…Tarehe kama ya leo Abdi Banda "Mwamba wa Chuma" alizaliwa. Ni mmoja kati ya mabeki wenye uwezo wa hali ya juu. Katika mambo makubwa...

Mashindano ya Copa Coca-Cola UMISSETA yazinduliwa rasmi Manyara

Mashindano ya mwaka 2019 ya Copa Coca-Cola UMISSETA yamezinduliwa rasmi mkoani Manyara leo ikiendeleza juhudi za Kampuni ya Coca-Cola kuunga mkono michezo mashuleni hapa...

Mchezaji apoteza maisha kwenye ajali ya gari

Kiungo wa klabu ya Free State ya nchini Afrika Kusini, Sinethemba Jantjies amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 30. Sinethemba amepata ajali ya gari...

Gyan “Mimi ni chui, waandishi hawanitishi”

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana Asamoah Gyan ameviomba vyombo vya habari vya Ghana kuwa vitumie muda kuhamasisha timu yao ya taifa na...

Mbao yamdondosha Salum Mayanga

Uongozi wa Mbao FC umefikia makubaliano na Salum Mayanga kuwa kocha wao mkuu kuchukua nafasi ya Ally Bushiri 'Benitez' ambaye amesitishiwa mkataba kutokana na...

Kumbe wachezaji wa Singida walikuwa wanapigwa!!

Mkurugenzi wa Singida United amesema miongoni mwa sababu za kuachana na aliyekuwa kocha wao Dragan Popadic ni pamoja na kocha huyo kuwapa vichapo wachezaji...

Makocha waliokimbia/kutimuliwa ligi kuu

Msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2018/19 ukiwa unaelekea ukingoni kuna vilabu vingi havipo tena na makocha ambao walianzanao msimu huu kutokana na sababu...

Takwimu za Simba na TP Mazembe hatua ya makundi

Draw ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya robo fainali imepangwa, watu wengi walikuwa wanataka kujua nani anakutana na nani hatimaye wameshajua. Mnyama anarudi...

“Tanzania inakwenda AFCON”-Amunike

Taifa Stars inaendelea na maandalizi ya mchezo wa kufuzu fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2019 dhidi ya Uganda mchezo ambao umepangwa kufanyika siku...

Ruvu Shooting mikononi mwa Simba

Simba baada ya kufanya yake Jumamosi iliyopita kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika, leo inarudi kupambania kombe la ligi kuu Tanzania bara kwa...

Kimataifa

Abdi Banda Mwamba wa Chuma usiotingishwa na kutu

:: đź“…Tarehe kama ya leo Abdi Banda "Mwamba wa Chuma" alizaliwa. Ni mmoja kati ya mabeki wenye uwezo wa hali ya juu. Katika mambo makubwa...

Takwimu za Simba na TP Mazembe hatua ya makundi

Draw ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya robo fainali imepangwa, watu wengi walikuwa wanataka kujua nani anakutana na nani hatimaye wameshajua. Mnyama anarudi...

Dokumentari

Kitaifa

Abdi Banda Mwamba wa Chuma usiotingishwa na kutu

:: đź“…Tarehe kama ya leo Abdi Banda "Mwamba wa Chuma" alizaliwa. Ni mmoja kati ya mabeki wenye uwezo wa hali ya juu. Katika mambo makubwa...
474,517FansLike
1,576,140FollowersFollow
80,910FollowersFollow